TIP!!
NYWELE ASILIA: Usukaji mfululizo wa rasta huchochea kurefuka kwa nywele kwa kuepusha uchanwaji MARA KWA MARA wa nywele , jambo ambalo huchochea nywele kukatika kwa kiasi kikubwa. ANGALIZO: Kumbuka kubadili rasta zako ndani ya mwezi 1.5 hadi 2 ili nywele zako zisikatike.
No comments:
Post a Comment