JUA NA KUBALI MAMBO HAYA:
- Kila aina ya nywele hukua.
- Nywele hukua ndani ya kipindi fulani cha muda sio ndani ya usiku mmoja.
- Nywele zako asilia zimejivingirisha , hazijanyooka hivyo KUBALI NA PENDA ASILI YA NYWELE ZAKO.
- Kama ndivyo, namna ya matunzo na mitindo yake ni tofauti na nywele zilizonyooka.
- JIAMINI KATIKA MITINDO TOFAUTI NA ILE YA NYWELE ZILIZONYOOKA.
PENDA UKURASA WETU HAPA >> SIRI YA UREMBO :)
No comments:
Post a Comment