Saturday, 29 March 2014
Thursday, 27 March 2014
100% Human Hair
Set , Iron, Dye, do whatever with the hair!! Call
0714319677 kujipatia Brazilian Weaving lako la
ukweli kabisaa!
Sunday, 9 March 2014
Monday, 20 January 2014
Wednesday, 15 January 2014
BRAZILIAN HAIR FEVER…
Be beautiful.. Be confident …
Call 0714 319677 or whatsapp (+905310868558)
ALSO LIKE US >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO
Monday, 23 December 2013
Katika msimu huu wa sikukuu tunawakaribisha nyote SIRI YA UREMBO; Ndege
Beach, Dar es salaam mjipatie brazilian hair original. Kwa maelezo zaidi piga
0714 319 677 (Pia Whatsapp +90 531 086 8558)
***Wasiliana nasi pia kama unahitaji za jumla kwa ajili ya biashara yako. NEXT
DELIVERY: 22 JAN 2014.
LIKE US >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO
Wednesday, 18 December 2013
WHOLESALE BRAZILIAN HAIR
IMPORT 100% ORIGINAL BRAZILIAN HAIR FROM TURKEY.
ORDERS & QUERIES??
LIKE & INBOX US THROUGH >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO
WHATSAPP US >>> +905310868558
EMAIL US >>> siriyaurembo@gmail.com
NEXT DELIVERY >>> 22 JAN 2014 PERSONAL DELIVERY AT YOUR RESIDENCE
****waweza kuletewa na bidhaa nyingine pia****
=== KARIBUNI SANA ====
Monday, 16 December 2013
* DHIBITI CHUNUSI KWA VITUNGUU SWAUMU *
MAHITAJI
Kipisi kimoja cha kitunguu swaumu.
MAELEKEZO
• Menya na kata kitunguu chako katika vipande viwili.
• Sugua kipande kimoja juu ya chunusi zako.
• Subiri kwa dakika tano kisha osha uso wako kwa maji vuguvugu.
• Rudia tiba hii mara kadhaa katika siku.
**Kula kipisi kimoja cha kitunguu swaumu kwa siku husaidia kusafisha damu.
***Kula vitunguu hivi kwa wingi huweza kukusababishia maumivu ya tumbo.
ALSO LIKE US>>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO
Sunday, 15 December 2013
MTU WA MATANGAZO ANAHITAJIKA
AINA YA KAZI:
• Part- Time
VIGEZO:
• Ajue kuongea na kuandika KISWAHILI & Kiingereza kwa ufasaha.
• Awe na elimu ya biashara, matangazo na kompyuta.
• Awe na ubunifu wa hali ya juu.
• Awe na taaluma ya Graphic Designing.
• Uwezo wa kupiga picha nzuri utamuongozea pointi.
KWA WENYE UWEZO TUTUMIE VIFUATAVYO KUPITIA siriyaurembo@gmail.com:
• CV (Iwe na picha na referees)
• Vyeti vya masomo
• Mifano 10 ya matangazo ya Urembo (juu ya Nywele, Kucha, Ngozi, Midomo, Macho nk.)---- hiki ni kipimo cha ubunifu.
• Kazi 10 za Graphics designs katika Nyanja ya urembo.---- hiki pia ni kipimo cha ubunifu
*** Anaweza kuwa mwanamke au mwanaume.

Subscribe to:
Posts (Atom)