Sunday, 15 December 2013

MTU WA MATANGAZO ANAHITAJIKA

AINA YA KAZI: 
• Part- Time

VIGEZO: 
• Ajue kuongea na kuandika KISWAHILI & Kiingereza kwa ufasaha.
• Awe na elimu ya biashara, matangazo na kompyuta.
• Awe na ubunifu wa hali ya juu.
• Awe na taaluma ya Graphic Designing.
• Uwezo wa kupiga picha nzuri utamuongozea pointi.

KWA WENYE UWEZO TUTUMIE VIFUATAVYO KUPITIA siriyaurembo@gmail.com:
• CV (Iwe na picha na referees)
• Vyeti vya masomo
• Mifano 10 ya matangazo ya Urembo (juu ya Nywele, Kucha, Ngozi, Midomo, Macho nk.)---- hiki ni kipimo cha ubunifu.
• Kazi 10 za Graphics designs katika Nyanja ya urembo.---- hiki pia ni kipimo cha ubunifu

*** Anaweza kuwa mwanamke au mwanaume.




ALSO LIKE US >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO

No comments:

Post a Comment