MAHITAJI
Kipisi kimoja cha kitunguu swaumu.
MAELEKEZO
• Menya na kata kitunguu chako katika vipande viwili.
• Sugua kipande kimoja juu ya chunusi zako.
• Subiri kwa dakika tano kisha osha uso wako kwa maji vuguvugu.
• Rudia tiba hii mara kadhaa katika siku.
**Kula kipisi kimoja cha kitunguu swaumu kwa siku husaidia kusafisha damu.
***Kula vitunguu hivi kwa wingi huweza kukusababishia maumivu ya tumbo.
ALSO LIKE US>>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO
No comments:
Post a Comment