Monday, 23 December 2013


Katika msimu huu wa sikukuu tunawakaribisha nyote SIRI YA UREMBO; Ndege

 Beach, Dar es salaam mjipatie brazilian hair original. Kwa maelezo zaidi piga 

0714 319 677 (Pia Whatsapp +90 531 086 8558) 

***Wasiliana nasi pia kama unahitaji za jumla kwa ajili ya biashara yako. NEXT 

DELIVERY: 22 JAN 2014.






KWA WAPENZI WETU WOTE

Siri ya Urembo Beauty Enterprise Inafurahia kuwatakia HERI YA KRISIMASI NA 

NAFAKA YA MWAKA MPYA !!


Wednesday, 18 December 2013

WHOLESALE BRAZILIAN HAIR

IMPORT 100% ORIGINAL BRAZILIAN HAIR FROM TURKEY.

ORDERS & QUERIES??

 LIKE & INBOX US THROUGH >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO 

WHATSAPP US >>> +905310868558

EMAIL US >>> siriyaurembo@gmail.com

NEXT DELIVERY >>> 22 JAN 2014 PERSONAL DELIVERY AT YOUR RESIDENCE

****waweza kuletewa na bidhaa nyingine pia****


=== KARIBUNI SANA ====

Monday, 16 December 2013

* DHIBITI CHUNUSI KWA VITUNGUU SWAUMU *


MAHITAJI
Kipisi kimoja cha kitunguu swaumu.

MAELEKEZO
• Menya na kata kitunguu chako katika vipande viwili.
• Sugua kipande kimoja juu ya chunusi zako.
• Subiri kwa dakika tano kisha osha uso wako kwa maji vuguvugu.
• Rudia tiba hii mara kadhaa katika siku.

**Kula kipisi kimoja cha kitunguu swaumu kwa siku husaidia kusafisha damu.

***Kula vitunguu hivi kwa wingi huweza kukusababishia maumivu ya tumbo.





ALSO LIKE US>>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO

Sunday, 15 December 2013

MTU WA MATANGAZO ANAHITAJIKA

AINA YA KAZI: 
• Part- Time

VIGEZO: 
• Ajue kuongea na kuandika KISWAHILI & Kiingereza kwa ufasaha.
• Awe na elimu ya biashara, matangazo na kompyuta.
• Awe na ubunifu wa hali ya juu.
• Awe na taaluma ya Graphic Designing.
• Uwezo wa kupiga picha nzuri utamuongozea pointi.

KWA WENYE UWEZO TUTUMIE VIFUATAVYO KUPITIA siriyaurembo@gmail.com:
• CV (Iwe na picha na referees)
• Vyeti vya masomo
• Mifano 10 ya matangazo ya Urembo (juu ya Nywele, Kucha, Ngozi, Midomo, Macho nk.)---- hiki ni kipimo cha ubunifu.
• Kazi 10 za Graphics designs katika Nyanja ya urembo.---- hiki pia ni kipimo cha ubunifu

*** Anaweza kuwa mwanamke au mwanaume.




ALSO LIKE US >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO

THE TIP! STIMINGI YA NAZI


  • Huzipa nywele zako ulaini na mng’ao. Tumia mara moja kwa wiki.

  • MAHITAJI:
    • Nusu kikombe cha mayonaizi.
    • Kjiko kimoja cha chai cha mafuta ya nazi.
    • Kijiko kimoja cha chai cha tui la nazi.

  • MAELEKEZO.
    • Changanya vitu hivi pamoja. 
    • Upake mchanganyiko wako katika nywele zako (ulizoziosha).
    • Vaa kofia ya plastiki kwa dakika 30, kisha osha nywele zako vizuri.




THE TIP! KUSHEVU VIBAYA HULETA MADHARA!!




Kushevu huusisha nywele na ngozi. Kabla ya yote hakikisha unalowanisha kwa maji ya vugu vugu sehemu unayotaka kunyoa ili kurahisisha zoezi hilo. Ongezea jeli ya kunyolea ili kuwezesha sheva yako kutereza kirahisi bila ya kukwangua ngozi yako jambo linalosababisha vipele na majipu baada ya zoezi.

LIKE US FOR MORE TIPS>>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO

Saturday, 14 December 2013

HABARI YA MUJINI!

Jipatie sasa Brazilian Hair zako SAFI & ORIJINO kutoka SIRI YA UREMBO. Piga 0714319677 (...pia tuandikie Whatsapp +905310868558) KARIBUNI NYOOOTE!!


ALSO LIKE US >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO

Friday, 13 December 2013

GIRLS; YES WE RUN IT :))

For curly, kinky, straight, red,blue..etc hair look get your ALL ORIGINAL BRAZILIAN HAIR TODAY!! Call 0714 319677 (Also Whatsapp +905310868558)…GIRLS RUN THE WORLD!!




PLS LIKE US >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO



Wednesday, 11 December 2013

We are waiting 4U

Brazilian Hair for SALE!! 100% Original, Iron, set, dye it with less worries!! Call now 0714319677 or Whatsapp + 905310868558 …We are waiting for your call :D 

Tuesday, 3 December 2013

#TeamBrazilian



 …100% ORIGINAL!! Call/ Whatsapp 0714 319677 (Only whatsapp +90 5310868558 ) to change your look 


COMING SOON !!


Organic/ Natural Skin care recipes.



For Brazilian hair n More; Call / Whatsapp 0714319677 (Only Whatsapp 

+905310868558) don't forget to like us >>>OFFICIAL SIRI YA UREMBO

STIMINGI YA ASALI,LIMAU & MAFUTA YA MZEITUNI (ALIZE)



Kwa nywele zenye na zisizo na dawa!



1)   Katika kikombe kidogo cha chai weka mchanganyiko sawa wa asali na mafuta ya mzeıtuni kisha nyunyuzia ndimu moja.

2)   Changanya mchanganyiko wako vizuri.




3)   Baada ya kuosha na kupaka kondishna nywele zako, zikaushe kidogo.

4)   Paka mchanganyiko wako kwneye ngozi ya kichwa, kisha usambaze kwenye kwenye kichwa kizima.





5)    Vaa kofia ya plastiki, kasha zungushia taulo lenye unyevu juu yake na subiri kwa dakika 30.



6)   Osha nywele zako kwa maji ya uvuguvugu, zikaushe kisha chana mtindo uupendao!!



UKIJIFUNZA; MFUNDISHE NA MWENZAKO :)

For 100% Brazilian Hair and more call / whatsapp 0714 319677 (Only whatsapp +905310868558); like us >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO