Sunday, 15 December 2013

THE TIP! KUSHEVU VIBAYA HULETA MADHARA!!




Kushevu huusisha nywele na ngozi. Kabla ya yote hakikisha unalowanisha kwa maji ya vugu vugu sehemu unayotaka kunyoa ili kurahisisha zoezi hilo. Ongezea jeli ya kunyolea ili kuwezesha sheva yako kutereza kirahisi bila ya kukwangua ngozi yako jambo linalosababisha vipele na majipu baada ya zoezi.

LIKE US FOR MORE TIPS>>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO

No comments:

Post a Comment