Kwa nywele zenye na zisizo na dawa!
1) Katika kikombe kidogo cha chai
weka mchanganyiko sawa wa asali na mafuta ya mzeıtuni kisha nyunyuzia ndimu
moja.
2) Changanya mchanganyiko wako
vizuri.
3) Baada ya kuosha na kupaka
kondishna nywele zako, zikaushe kidogo.
4) Paka mchanganyiko wako kwneye
ngozi ya kichwa, kisha usambaze kwenye kwenye kichwa kizima.
5) Vaa kofia ya plastiki, kasha zungushia
taulo lenye unyevu juu yake na subiri kwa dakika 30.
6) Osha nywele zako kwa maji ya
uvuguvugu, zikaushe kisha chana mtindo uupendao!!
UKIJIFUNZA; MFUNDISHE NA MWENZAKO :)
For 100% Brazilian Hair and more call / whatsapp 0714 319677 (Only whatsapp +905310868558); like us >>> OFFICIAL SIRI YA UREMBO
No comments:
Post a Comment