- Huzipa nywele zako ulaini na mng’ao. Tumia mara moja kwa wiki.
- MAHITAJI:
• Nusu kikombe cha mayonaizi.
• Kjiko kimoja cha chai cha mafuta ya nazi.
• Kijiko kimoja cha chai cha tui la nazi. - MAELEKEZO.
• Changanya vitu hivi pamoja.
• Upake mchanganyiko wako katika nywele zako (ulizoziosha).
• Vaa kofia ya plastiki kwa dakika 30, kisha osha nywele zako vizuri.
No comments:
Post a Comment